Ujasiriamali,Biashara,Mahusiano,Siasa,Michezo, Burudani na Matangazo.
Jumatano, 3 Agosti 2016
KUPIGWA TUNAJITAKIA.
Kupigwa hakuji bila sababu lkn kupigwa kwingine huwa tunajitakia.
Hii huja hasa pale ambapo tena kwa maandishi mtu ameambiwa kuwa usifanye jambo fulani eneo hili,lkn kwa makusudi mtu anaamua tu kufanya jambo hilo.Mtu kama huyu kwa nini asipigwe?.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni