Alhamisi, 4 Agosti 2016

GABO APATA AJALI MBAYA YA GARI.

Mkali wa movie anayekuja kwa kasi kunako tasnia ya filamu Tanzania Gabo Zagamba jana amepata ajari mbaya ya gari.
Hata hvy hakuumia lkn wenzake wawili ni majeruhi.

Hakuna maoni: