Jumatano, 31 Agosti 2016
MCHANA NA KATUNI

MAGAZETINI LEO

Kilimanjaro Mountain Climbing trip.
http://migrationtourandsafari.com/about-us.html

Jumanne, 30 Agosti 2016
KUPIGWA TUNAJITAKIA.
Hivi ndugu zangu,bunadamu huwa tunapatwa na nini eti!?,Jamani mbona vitu vingine huwa viko wazi tu kwamba mbali na sheria au makatazo mbalimbli ukivitekeleza vitu hivyo ni dhahir kabisa kwamba ni hatari kwa uhai wako ama usalama wako.
Hebu oneni mtu kama huyu,mwenye akili timamu halafu anafanya upuuzi kama huu.Kwanza kama askari wa usalama barabarani akikutana na hali hii lazima ataanza na dereva kisha huyu aliyedandia huko nyuma.Jamani WAPIGWE TU,KWANI NI WAZI KWAMBA KUPIGWA TUNAJITAKIA.

ALIYEIUA AFRICAN LYION HUYU HAPA.
Katika pambano la soka ligi kuu vodacom Tanzania bara dhidi ya Young Africans(Yanga)na timu ya African Lyion juzi uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuna mchezaji wa Yanga aliingia akichukua nafasi ya Donald Ngoma.Mchezaji huyo Yusuph Mhilu alicheza dk 3 tu,huku akigusa mpira mara 3 tu na mara ya hiyo ya tatu na ya mwisho kwake kugusa mpira ktk mchezo huo ndiyo ilizaa goli la 3 na la Ushindi kwa Yanga.Mhilu ndiye aliyemaliza kazi ya Yanga ktk kuwashughulikia African Lyion au Simba ndogo.

Jumatatu, 29 Agosti 2016
CLUB BILCANAS KUKINUKISHA JUMATANO HII.
Shamsa Ford Daily kwa kushirikiana na Club Bilcanas ya jijini Dar es Salaam jumatano hii Agosti 31 wanakinukisha kwa kukuletea Usiku wa MTEKENYO MTEKENYO(KIBAO KATA)kuntu.Serebuko hilo la aina take litahappen palepale chimbo la wajanja club Bilcanas kwa mtonyo wa buku ten(10,000/=)tu,huku ikishuhudiwa na singeli za hatari kutoka kwa mkali wa muziki huo hapa bongo namzungumzia MSAGA SUMU Mzee wa Amsha popo na wengineo kibao.
Hakikisha hukosi bab.
Hakikisha hukosi bab.

MCHANA NA KATUNI.

MAGAZETINI LEO

Jumapili, 28 Agosti 2016
MZAZI WAKO NDIYE SHUJAA WAKO.
Hakuna aujuaye uchungu wa mwana,malezi na maendeleo yake zaidi ya mzazi.
Kwenye vitabu vya dini tumehusiwa kuwapenda na kuwaheshimu wazazi wetu ili tupate kheri na fanaka maishani mwetu.
Haijalishi hali ya mzazi wako ikoje,iwe kitaaluma,kimaisha au vyovyote vile,daima bado anabaki kuwa mzazi tu na mwenye kustahili kuyafaidi mafanikio yako.
Wazi hutuwazia mema kila kuitwapo leo,hutuombea na kututakua kheri maishani mwetu.Wametulea,wametusomesha hata kutufanikisha ktk maisha yetu.Kumbuka asili yako kwanza kwa kile unachokipata.
Heri yako wewe mzazi wako anaishi hadi leo kuna eenzetu wengine hawana kabisa au hata hawajawahi kuwaona toka wamezaliwa.
Baba na mama walijinyima kwa ajili yako,kuna wakati walukosa usingizi kwa ajili ya afya,taaluma au hata maisha yako yote kuhakikishwa wewe unaishi.
Hebu tujifunze hapa ktk picha.

LEMA HATARINI KWA NJAA.
Hali ya Mbunge wa Arusha mjini Mh.Godbless Lema kiafya iko matatani kutokana na Mbunge huyo kususia kula chakula kwa masaa 48 sasa.Hii imekuja bbaada ya Mbunge huyo wa Chadema kukamatwa na polisi na kuswekwa Rumande na jeshi la polisi jijini humo kwa madai yanayomkabili kwa kuandika na kutuma habari za uchochezi ktk ukurasa wake kwenye mtandao wa kijamii.
Tangu amekamatwa Agosti 26 nwaka huu yaani siku 2 hadi unatoka taarifa hii Mh.Lema amejataa kabisa kula wala kunywa maji akidai kukamatwa kwake ni uinevu.

Jumamosi, 27 Agosti 2016
KUPIGWA TUNAJITAKIA.
Hii huja hasa pale ambapo mtu unajifanyia tu jambo ktk eneo usilostahili kulifanya.Na hii huletwa eidha kwa kutokujuwa au dharau tu ama kupuuzia.
Hebu jionee mwenyewe,MTU kama huyu akikutwa na dhahama kuna sababu ya kulaumiwa?
AAAH,TUPIGWE TU MAANA TUNAJITAKIA.

TUMETOKA MBALI HIVYO MAISHA NI HATUA.
Joti na Mpoki Leo ni Makomedian wakubwa lkn kihistoria hawakuwa hivyo Bali ni Vipaji,Kujituma,nidhamu ya kazi na juhudi binafsi ndizo zimewafikisha mahali walipo bila kusahau kujitambua.
Elizabeth Michael a.k.a Lulu,alianza kuonekana ktk maigizo na tamthilia angali mdogo kabisa,kiasi kwamba alishangaza watu hali iliyopelekea kumtabilia makubwa mbele yake na ndivyo ilivyokuja kuwa.Leo Lulu tunayemtaja hapa si msichana unayeweza kumnyima kura ktk medalist mbalimbali kwenye tasnia ya filamu Tanzania.Wrote hawa Leo maisha yao yamebebwa na vipaji na juhudi zao.
Wamekuwa ni sehemu ya kuhivunia ktk jamii ya Kitanzania.
Ukiwa kama kijana huna budi kujifunza kutoka kwa watu wa aina hii.Simamia mawazo yako,jitahidi kugundua karama yako.Acha kuyumbishwa na Dunia.Tazama maisha yanataka nini kwanza.Jenga mbinu mbadala NA sahihi ktk kujifanikisha.Tuepuke mafanikio ya haraka kwani hutupitisha ktk magumu NA majaribu yaletayo maumivu kwa hatima zetu.
Tumeumbwa wakuu,tumeumbwa kushinda na so kushindwa.Tena tujitahidi kutafuta maarifa.Tusomeni vitabu jamani,twendeni kwenye semina za ujasiriali tukajifunze mambo.Lkn pia tuutumie vizur muda tulonao ktk kuzifanya changamoto zetu kuwa fursa ktk maisha yetu badala ya kukaa tu tukisubiria ajira.
Tumetoka mbali sana kama Taifa,Nani wa kutujengea uchumi wetu kama sisi wenyewe hatutajitambuwa?.Lulu,Joti NA Mpoki wana mini hawa hatswakafanikiwa halafu were na Mimi tukashindwa?.Shituka sasa,Kamata Fursa,Fungal mkanda kisha Twenzetu.Wewe NA Mimi bila umasikini inawezekana.

Alhamisi, 25 Agosti 2016
UKUTA TU NDIYO SHIDA.
Neno UKUTA yawanyima usingizi wenzetu hasa hawa wanaojiita dola.
Sasa imekuwa shida kila kona kiasi kwamba hata kumuulizia kitu MTU lkn ukataja neno UKUTA lazima kama ulikuwa ukipishana na Askari au mtu asiyependa kusikia UKUTA atageuka kukuangalia.
Jana ktk sehemu mbili tofauti kulitaka kuleta mushkeli.
(1)SINGIDA:-
Jamaa mmoja yuko ktk ujenzi,sasa mida fulani akiwa mjini Mara baada ya kutoka kazini alimpigia simu mkewe ambaye yeye alikuwa eneo la ujenzi(Saiti)akiwasimamia mafundi.Jamaa alizungumza na mkewe vizuri tu lkn katikati ya maongezi akamuuliza hivi,"VIPI MAENDELEO YA UKUTA MMEFIKIA WAPI?"........weeeh kabla hata hajajibiwa alisikia sauti ikimwambia,"AISEE HEBU HIZO HABARI ZA UKUTA ZIFE MARA MOJA".Hapo ilibidi jamaa akate simu na kujitetea kwa kumuelekeza afande kila kitu kuhusu mazungumzo yale.Afande ilimbidi awe mpole.
(2)TANGA:-
Jana Tanga nako kuna jamaa huwa anaprint tisheti.Sasa alikuwa kapewa tends ya kuprint tisheti za kikundi kimoja hivi cha kufa na kuzikana cha mjini humo.Jamaa aliifanya siku hiyo ndani ya Sikh 3 kwa kuwatafutia tisheti zenyewe kwanza ambapo yeye alipendezwa na za ranging nyeusi,akaziprinti kwa maneno yasemayo,"Umoja wa Kuzikana Tanga".
Halafu kwa chini kidoko akaandika kifupi chake yaani UKUTA.Weeeh kazi ikawa ngumu wakati amezipeleka kuwakabidhi wanakikundi.Pamoja NA kwamba Tisheti zilikuwa bomba lkn jamaa walimkatalia kuzipokea wakidai shida siyo gharama au tisheti,Bali shida ni hill neno UKUTA.
Basi fundi akawashauri aongeze neno "M"mwishoni ili isomeke UKUTAM ikimaanisha,"Umoja wa Kuzikana Tanga Mjini".
Weeeeh,wanakikundi wakang'aka unatutakia kifo nini?.Sasa Polisi si watajuwa kuwa UKUTAM maana yake ni Ukuta Mgumu!!!?.
Hakukuwa tena na namna ilibidi tu ile kwa funding maana hats angesema azigawe bure mtaani asingempata wa kuzichukuwa.

RONALDO ANG'ARA TUZO ZA MCHEZAJI BORA ULAYA

WAZO LA LEO

KUPIGWA TUNAJITAKIA.
Jamani,MTU huwezi kupigwa hivihivi bila sababu au kukiuka taratibu zilizowekwa.
Dah!binafsi nashindwa kuelewa kwamba wakati mwingine watu wanakuwa hawajui au wanajiamulia tu kukiuka sheria ama taratibu?.Hii ni barabara ya mabasi yaendayo kasi,na kwa hivyo magari ya kawaida hayaruhusiwi kupita humo lkn mtu kwa dharau au makusudi anajipitia tu.
Swali je,mtu kama huyu akipigwa kuna sababu za kuraumiwa?.
WAPIGWE TU,KWANI TUNAJITAKIA.

MTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO
Ukimlea mototo kiyai yai,lazima atakuwa yai kweli.Maisha yanakwenda yanabadilika kwa kasi sana,lazima mtoto alelewe kwa mfumo na mikakati maalumu itakayomuwezesha kuzimudu changamoto zake.
Sasa malezi kama haya unamuandaa mtoto kuja kuwa nani hapo baadaye?.

HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU ULAYA.

Jumatano, 24 Agosti 2016
MATATANI KWA KUUZA TSHIRT ZA UKUTA.
Kijana mmoja ambaye hakujulikana Nina Mara moja juzi kati alijikuta matatani baada ya kufumwa na jeshi la polisi akiuza t-shirt za UKUTA oparesheni inayoratibiwa na Chama cha Chadema kama ni Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania iliyopangwa kufanyika septemba mosi wiki ijayo.
Hata hvy jana jeshi hilo la polisi mbali na kuzungumzia suala la kushambuliwa kwa askari wake wanne juzi usiku na kupoteza maisha ktk tawi la benki ya CRDB Mmbande jijini Dar,lilisisitiza na kuonya vikali kuhusu mikutano ya ndani ya vyama vya siasa likidai kuwa vinachochea vitendo vya uhalifu na uvunjifu wa Amani.

WAZO LA LEO.
Amani yetu Kwanza,hayo mengine yanzungumzika...kwa kuwa Uhai si sawa na kifurushi useme kikiisha utawezajiunga tena.

KUPIGWA TUNAJITAKIA.
Leo tunaangazia tabia za waendesha vyombo vya moto ambavyo hawatii sheria.
Sheria za usalama barabarani ziko wazi tu na zinazungumzwa na kusimamiwa kila uchwao ili zitekelezwe lkn mtu na hakili zake kwa makusudi anazivunja sheria hizi.Kwanza aliyekitengeneza chombo hicho cha usafiri pamoja na ujuzi wote alonao,bado alikumbuka kuweka kiwango cha mwisho cha uzito wa mzigo ufaao kupakiwa na chombo hicho.Sheria nazo zikawekwa ili kutilia mkazo ktk kudhibiti matumizi sahihi kwanza ya barabara,kisha ya vyombo vyenyewe vya usafiri lkn pia na usalama wa watumiaji wote wa barabara.
Mtu kama huyu,amejaza mzigo namna hii,hivi hata mbele anaona kweli,je anaona nyuma?.Huyu akishurutishwa kwa kosa hili atakuwa kaonewa?.Mwanausalama gani wa barabarani asiyejipenda akutane na wewe unayafanya haya halafu akuache?.
Aaah....MPIGWE TU MAANA MNAJITAKIA.

Jumanne, 23 Agosti 2016
BREAKING NEWS:-ASKARI 3 WAUAWA KTK SHAMBULIZI LA KIJAMBAZI CRDB MMBANDE.
Tukio la kinyama limetokea muda huu saa 19:30 pm ktk maeneo ya benki ya Mmbande baada ya watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi kutaka kuvamia benki hiyo na kutoka na pesa kukwama na kutimuka huku wakiacha wameuwa askari 3 wa jeshi la polisi.
Majambazi hayo yalishindwa kuvunja benki hiyo baada ya kushitukiwa na askari hso ambao mmoja alikuwa anatoka lindoni na mwingine akiwa anaingia kumpokea mwenzie na mmoja mwingine akiwa ni dereva aliyemleta mwenzie.
Askari walokufa ni
(1)E5761 CPL Yahaya
(2)F4660 CPL Hatibu na
(3)G9544 PC Tito.
Hata hivyo mbali na kutekeleza mauaji hayo,majambazi hao walokuwa na pikipiki watokomea kuelekea Mvutin huku wakifanikiwa kukimbia na SMG moja mali ya jeshi la polisi.
Habari na chanzo chetiu
Johnson Kahwa.

CHADEMA YAILAZA MACHO WIZARA YA MAMBO YA NDANI.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kupitia oparesheni take ya UKUTA ambayo maandalizi yake yanazidi kushika kasi sehemu mblmbl za nchi imeendelea kuifanya wizara ya mambo ya ndani na jeshi la polisi nchini kuwa tayari kila siku.
Oparesheni UKUTA inayoratibiwa na Chadema inayolenga kupinga udikteta Tanzania na ambayo imepangwa kufanyika Septemba 1 mwaka huu yaani mwezi ujao imezidi kuleta joto la aina yake hali inayopelekea jeshi la polisi kula jaramba ili kujiandaa na kuidhibitia oparesheni hiyo.

Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)