Jumatano, 27 Julai 2016

YANGA YAKWAMA GHANA.

Hatimaye wawakilishi pekee wa Afrika Mashariki kutoka Tanzania ktk michuano ya kombe LA shirikisho timu ya Yanga,Jana ilikubali kulala kwa kipigo kikali cha magoli 3-1 kutoka kwa timu ya soka ya Medeama ya Ghana.
Mabingwa hao wa ligi KUU Tanzania bara ktk mechi ya kwanza iliyochezwa uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam ambapo Yanga na Medeama walitoka suruhu ya goli mojamoja.Kutokana na mechi hiyo ya Jana Yanga imepoteza matumaini ya kusonga mbele.

Hakuna maoni: