Wajasiriamali mpooooo!!!?
Ni semina ya wajasiriamali itakayofanyika jijini Mwanza.Njoo ujifunze namna ya kutengeneza vitu mbalimbali,namna ya kuanzisha biashara yako,namna ya kukuza na kuendeleza mtaji na biashara yako.Maelekezo km yanavyoonekana kwny bango letu hapa chini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni