Jumamosi, 23 Julai 2016

UPENDO NI TIBA KWA NAFSI ILIYOJERUHIWA

Mapenzi~Ni wimbo uimbwao na nafsi mbili kutoka jinsia mbili tofauti yaani ya like na ya kiume.Ktk mamntiki hiyo nafsi hizi mbili kila moja huitegemea na kuwekeza kwayo.Mme humtegemea mke ktk ustawi na kuendelea kwake kwa ndani na nje.Hata hvy make naye kwa kiwango kikubwa maishani mwake hutegemea uwepo wa mume ili kustawi.
Wimbo huu mapenzi ala zake huwa murua kiasi cha kuzifurahisha nafsi zote mbil ktk uimbwaji wake.Hata hvy wimbo huu hupitia Maputo mengi ala na aya zake kama vile mabonde,mito,furaha na Huzuni ambapo kwa pamoja huitwa CHANGAMOTO.Changamoto huja kutokana na mpishano wa ala pale ambapo hazikuleta ari,nguvu,furaha,hadhi na matamanio yenye wito wa kutamani kuuimba wimbo huu MAPENZI.
Kuanzia Leo tutaanza kukuletea makala hii ambayo binafsi tunaamini itakujenga kimahusiano na kukufanya utambue haki na wajibu wako ktk mahusiano.To a furaha ili uipate furaha.Pia tukiambatanisha machapisho na picha zenye jumbe nzuri ktk mapenzi.
Karibu.




Hakuna maoni: