Jumapili, 17 Julai 2016

KIDOKEZO:
Msanii wa Hip Hop nchini Tanzania maarufu kwa jina la Roma Mkatoliki ang'aka na kusema anawashangaa BASATA kuzifungia nyimbo zake.Jamaa kaenda mbali zaidi na kudai yeye hajui sababu ya nyimbo hizo kufungiwa na hata alipowauliza Balaza hilo la sanaa nchini anadai hawakumpa majibu.Mkali huyo aliyewahi kutamba na ngoma kama vile Tanzania Nchi yangu na nyinginezo kibao bado anadai yupo ngangali.
facebook

Hakuna maoni: