MUSIC:Hatimaye video ya Ngoma ya Walk it off ya mkali wa HIP HOP hapa Bongo akiwakilisha jiji la Mwanza,namzungumzia FID Q (NGOSHA)yatangazwa kuwa ndiyo video bora Afrika Mashariki na kuingizwa ktk tuzo za ZIFF.Endelea kutufuatilia kuhusu tuzo hizi nasi tutakujuza.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni