Jumanne, 19 Julai 2016

VIJANA NA MAISHA

Vijana bado tunayo nafasi kubwa kujijenga na kujiendeleza kupitia vipaji vyetu,taaluma zetu au nafasi tulizo nazo kijamii na kiuchumi ktk kufanya kazi kwa bidii,utashi na weledi mkubwa.
Maisha ni safari na mapambano yenye kupitia changamoto nyingi sn,lkn hata hvy hatupaswi kukata tamaa,haijarishi ni yepi tunayapitia ikiwemo kupingwa,kukataliwa au hata kukatishwa tamaa,tujipe moyo na kusimamia tunayoyaamini.Kikubwa fanya vitu vya halali na vyenye kukubalika kijamii hakika tutatoboa.Kuchagua kazi kunazijeruhi hatima zetu na kuzorotesha jitihada zetu ktk kuyafikia mafanikio.
Lkn pia mawazo potofu na hisia mgando visitawale harakati zetu zilengazo kutukwamua kimaisha.

Hakuna maoni: