Ijumaa, 15 Julai 2016

Pombe kali zamtafuna Wolper

Msanii hot kunako tasnia ya filamu hapa Bongo,Jacqueline Wolper Massawe anaonekana kuendekeza pombe kali kiasi kwamba ni hatari kwake huku kukiwa na ubuyu kwmb mpenzi wake aitwaye Harmonize tayari ameshamtundika mimba star huyo.

Hakuna maoni: