Jumapili, 17 Julai 2016

LULU:Mkali wa Movie ambaye hapotezi ubora wake kila siku iitwayo leo ambapo anajulikana kama Elizabeth Michael maarufu kama Lulu.Bado anaonekana yupo vizuri kimuonekano hadi location kiasi kwamba huishi hamu kumtizama.Hebu share picha hizi mara nyingi uwezavyo.Ambapo kupitia blog yetu utajipatia zawadi kutoka kwake LULU.

Hakuna maoni: