Jumapili, 17 Julai 2016
STAR KTK FASHION:Leo tunamuangazi mamaa wa ukweli,mamaa wa ngeli.Si mwingine ni Wema Isack Sepetu.Huyu aliwahi kuwa miss Tanzania lkn pia kwa sasa anatamba ktk Movie mbalimbali kunako tasnia ya filamu hapa Bongo.Kiukweli bado haishi hamu kumtizama.Hebu mcheki hapa ktk mionekano na mavazi ya tofauti kiasi kwamba Anatokelezea hatareee.Share uwezavyo km unamkubali.

Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni