Jumanne, 19 Julai 2016

BREAKING NEWS

Hadi muda huu kiwanda cha nguo cha 21st century textiles ltd cha mjini Morogoro chaendelea kuteketea kwa moto.
Kamanda wa polisi mkoani hapo amethibitisha kuwepo kwa tukio hiloambapo hadi muda huu jeshi la polisi,kikosi cha zimamoto pamoja na raia wanaendelea kukabiliana na moto huo kuuzima ili usiendelee kuleta madhara.
Chanzo cha moto huo ni hitilafu za umeme.Picha na ITV






Hakuna maoni: