Kwa mchana wako wa Leo 25/7/2016,Tunakuletea picha na katuni ilivyokuwa kwny hafla ya kuwatunuku vyeti makamishna wa polisi.
Kumbuka huu siyo msimamo wetu Bali ni kukuburudisha tu msomaji wetu.Huku tukikufunza kubana matumizi hali itakayokuwezesha kufanikiwa ingawa tabia hii wengi wetu hatuna mazoea yake na kwamba kubana matumizi wengine huona au huchukulia kama ni UBAHIRI.Lkn kumbuka waliofanikiwa maishani hapa ulimwenguni huitumia njia hii kwa asulimia kubwa.
Jinyime ktk vitu vikupavyo raha kwa muda mfupi ili ujekufurahi kwa muda mrefu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni