DODOMA KWAENDEKA?:Vijana wawili wasanii wa Hip Hop Nchini Tanzania ambao nyimbo zao hugusa hisia za wengi kutokana na ujumbe wake pamoja na aina ya uimbaji wake,wakutana na Mh.Lowassa na kuzungumza kuhusu CHASO 23/7/2016 mjini Dodoma.Vijana hao ni Roma Mkatoliki na Kala Jeremiar.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni