Jumatatu, 18 Julai 2016

YANGA YAFUNIKA TUZO ZA VPL 2015/2016

Hatimaye klabu ya soka ya Yanga ya jijini Dar es Salaam yafunika ktk tuzo za ligi kuu Vodacom usiku wa jana.Miamba hao wa mitaa ya Twiga na Jangwani ambao pia ndiyo mabingwa wa ligi hiyo msimu uliyomalizika jana walijikuta ktk furaha licha ya kushindwana nguvu na Medeama ya Ghana uwanja wa taifa juzi baada ya kujishindia ama kujinyakulia tuzo 5 kupitia vipengele mbalimbali.
Tuzo hizo za Yanga zimepatikana kupitia
(1)Ubingwa wa ligi
(2)Kocha bora ktk ligi
(3)Mfungaji bora
(4)Mchezaji bora na
(5)Mchezaji bora wa kigeni.
Jionee ktk picha.






Hakuna maoni: