Jumatatu, 18 Julai 2016

GABO ANG'ARA TUZO ZA ZIFF

Mkali wa movie kunako tasnia ya filamu nchini na ambaye nyota yake inazidi kuangaza kwa kasi Bw.Gabo Zagamba,Ang'aa kwny tuzo za ZIFF zilizotolewa huvi karibuni mjini Zanzibar.
Gabo alishinda tuzo km Msanii bora wa kiume.Itakumbukwa kuwa filamu yake iutwayo SAFARI YA GWALU Imebamba na kukonga nyoyo za wengi hasa wapenzi na mashabiki wa tasnia hiyo hapa nchini kiasi kwamba inamtabiria mafanikio makubwa sana kulingana na ujumbe,washiriki na maudhui yake kuwa ya kipekee.

Hakuna maoni: