Jumatatu, 18 Julai 2016

COMMING SOON:

Hatimaye Mkali wa Hip Hop nchini Tanzania ambaye ni chimbuko ama kizazi cha Bongo Star Search Kala Jeremiah aingia studio kuipika ngoma yake mpya itakayo kwenda kwa jina la WANA NDOTO.
Mwenyewe anasema ktk ngoma hiyo baadhi ya maneno yaliyomo ni;
(1)Rais
(2)Mbunge
(3)Diwani.
Hivyo mpenzi na shabiki wa msanii Kala na industry ya Muziki hapa Bongo kaa mkao wa kula kwana karibuni mzigo huo utakuwa hewani.

Hakuna maoni: