Jumamosi, 16 Julai 2016

MREMA AULA TENA:-M/kiti wa chama cha T.L.P taifa na Mbunge Mstaafu wa Vunjo Mh.Augustino Lyatonga Mrema ateuliwa na Rais Magufuli kuitumikia Serikali yake ya awamu ya tano yenye kauli mbiu ya HAPA KAZI TU.

Hakuna maoni: