Jumatano, 27 Julai 2016

MCHANA NA KATUNI

Karibu ndugu msomaji wetu,leo 27/07/2016 tukuburudisha na katuni ya ukweli,tukiangazia tamko,maamuzi na mpango wa serikali kuhamia mkoani Dodoma.Agizo ambalo limeungwa mkono na waziri mkuu mh.Majaliwa Kassim Majaliwa kwamba hadi Septemba  mwaka huu tayari serikali yote iwe imeshahamia Dodoma.Agizo hilo lilitolewa na Rais wa awamu ya tano mh.Dkt John Pombe Magufuli kwenye sherehe za maadhimisho ya siku ya Mashujaa wa Tanzania kitaifa ilitofanyika 25/07/2016 mjini Dodoma.

Hakuna maoni: