Wahamiaji haramu RAIA wa Ethiopia wakamatwa Mtwara wakijaribu kuvuka boda kuelekea Afrika kusini.
Wahamiaji hao 56 ambao walikuwa wakihama kutoka nchini kwao kutokana na hali ngumu ya maisha nchini humo walisema wamelazimika kufanya hvy kwa lengo la kwenda kutafuta maisha Nchini Afrika kusini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni