Jumapili, 17 Julai 2016

KUPENDWA RAHA:Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na namna ambavyo mtu unapewa kitu roho inataka.Hii imemkuta mkali wa Movie hapa Bongo Jacqline Wolper kiasi kwamba anashindwa kuzizuia hisia zake na kumsifia Msafi wake kinda na mkali anayekuja juu kunako game ya music kutoka WCB,namzungumzia Hermoniz kwamba pamoja na udogo wake lkn anamkosha ama kumkonga nyoyo vilivyo.Hebu jionee mwenyewe walivyojiachia kuonesha kwmb Kupendana kwao hadi RAAAAAHA.Mmmmmmh usitokwe udenda.

Hakuna maoni: