Hii huja pale ambapo mtu bila kuuliza lengo na dhumuni la kupewa au kuzawadiw kitu fulani bila maelekezo ama kuuliza.
Hawa ndugu waligaiwa vyandarua kwa ajili ya ile vita ya kupinga malaria lkn wao wakaamua kuvitumia kama shera ama vazi la bibi harusi ktk harusi zao.
Inasikitisha sana.Ama kweli Wa kupaste.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni