Jumapili, 18 Septemba 2016

MANCHESTER UNITED YAPIGWA TENA.

Timu ya Man U jioni hii imekubali tena kipigo cha tatu kwa kufungwa bao 3 kwa 1 toka kwa timu ya Watford zote za nchini humo Wingereza ktk ligi ya mabingwa England EPL.

Watford ndiyo walikuwa wa kwanza kuliona Lango la Man U kupitia kwa mchezaji wao Capoue mnamo dakika ya 34 ya kipindi cha kwanza cha mchezo lkn mnamo dakika ya 62 kipindi cha pili Man U wakasawazisha kupitia kwa Rashford.Goli hill la kusawazisha likawapandisha hasira Watford ambapo mnamo dakika ya 83 mchezaji Zuniga akaongeza goli la pili na dakika ya 90 ktk zile za nyongeza Watford wakaongeza goli la 3 kupitia kwa mchezaji Deeney NA kuufanya mchezo huo kumalizika kwa Watford 3 na Manchester United 1.Hii inakuwa in safari ya tatu Man U kufungwa mfurulizo tangu kuanza kwa ligi hiyo nchini England pamoja NA kwamba timu hiyo imejaa wachezaji wazuri wa kimataifa kama akina Rooney,Pogba no.


Hakuna maoni: