Jumatano, 7 Septemba 2016

POMBE ZAMMALIZA RAPA KR MULA

Pombe na unywaji mbovu wa kilevi hicho vyammaliza mwanamuziki wa bongo fleva nchini KR-Mula,muziki mkubwa kutoka TMK wanaume.
Msanii huyo imefikia kiwango cha kutokujitambuwa baada ya kupiga gambe kama alivyobambwa na mapaparazi akiwa ameuchapa usingizi mara baada ya kugambeka chakali.
Msanii Hugo ambaye kiumri ni MTU mzima kiasi kwamba alikuwa ni mfano wa kuigwa na wadogo zake kundini hapo kama vile akina Temba,Chege Chigunda na wengineo lkn pombe imeshamu overtake KR,kulewa kihivi kunammaliza kabisa jamaa huyu.

Hakuna maoni: