Jumamosi, 10 Septemba 2016

TETEMEKO LALETA MADHARA MWANZA.

Tetemeko la ardhi lililotokea Leo lasababisha madhara jijini Mwanza.Laharibu Mali na kusababisha nyumba na baadhi ya majengo mengine kadhaa kuvunjika vibaya.



Hakuna maoni: