Leo sina mengi bali jionee tu mwenyewe ndugu msomaji wangu.
Hapa kuna vitu vinne vyenye kumtahadharisha dereva kutokufanya makosa kiasi cha kuyagharimu maisha ya watu.
(1)Mteremko kisha mwinuko mkali kiasi.
~Hii ikimaanisha huyu wa basi ana overtake kwenye mteremko halafu mbele yake kuna mlima ama mwonuko na kwa hivyo hawezi ona kinachokuja mbele.
(2)Kona na Mchoro
~Hii ilitosha kabisa kumuonya dereva wa basi kwamba hiki kikona pamoja mstari uliochorwa barabarani hakuruhusiwa ku overtake ktk eneo lile.
(3)Mwendokasi
~Hapa ktk kuovertake huku akiwa amevunja sharia zote tatu kwa wakati mmoja bado hakutaka kuwa mpole zaidi anaendesha mwendo mbaya sana.
(4)Askari wa Usalama barabarani.
~Mkono wake wa Julia kulikuwa NA kituo cha usalama barabarani NA askari wapo hapo na wanaonekana lkn jamaa hakujali.
Hebu sasa jiulize mfano huyu MTU anapata ajali atamlaumu MTU??,au akipigwa faini hapo kuna kuonewa?.
WAPIGWE TU MAANA WANAJITAKIA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni