Tukio la kipekee na la kihistoria Duniani la Kupatwa kwa jua limefana huko Rujewa jijini Mbeya.
Tukio hilo la ajabu na la kipekee limetokea Siku ya leo Duniani kote lkn ajabu zaidi kwa Afrika mashariki na kati limeweza kuoneka kiurahisi zaidi ktk mji wa Rujewa wilayani Mbarali jijini Mbeya huku likiacha historian kubwa ya watu mbalimbali kutoka mikoa na mataifa mbalimbali kufika eneo hill na kujionea kwa macho yao.
Duniani kote leo Rujewa na hasa Mbeya imeweka historia.Zaidi ya watu 3000 kuhydhuria tukio hill ambalo hutokea kila mara baada ya takribani miaka 15.
Kupatwa kwa jua ni ile hali ya mwezi kukaa katikati ya jua na Dunia na hivyo kuifanya miale ya mwanga wa jua isiifikie vema Dunia kunakotokana na mwanga kuwa hafifu.
Hata hvy baadhi ya watu wameishauri serikali kuwekeza ktk eneo hilo na kupitia Fursa hiyo adhimu Duniani ili kuifanya Rujewa kuwa sehemu ama kivutio cha Utalii.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni