Chama cha UPDP nchini kimetangaza kuwa kitafanya maandamano ya Amani ya kumpongeza Rais Magufuli kwa kufanikiwa kuzuia maandamano na mikutano ya kisiasa Nchini.
Hayo yamesemwa Leo na M/kiti wa chama hicho cha siasa nchini.Kwa mujibu wa kiongozi Hugo,maandamano hayo yamepangwa kufanyika Septemba 15.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni