Ujasiriamali,Biashara,Mahusiano,Siasa,Michezo, Burudani na Matangazo.
Jumamosi, 17 Septemba 2016
KUPIGWA TUNAJITAKIA.
Amino usiamini,lkn ni wazi kwamba wakati mwingine tunajitakiaga wenyewe kupigwa ama kutendewa isivyo kutokana na eidha ubishi,uzembe,kutokujuwa,makusudi ama kupuuzia taratibu au maelekezo tunayopewa ktk sehemu Fulani.
Hebu jionee hapa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni