Jumamosi, 10 Septemba 2016

AJINYONGA KISA MAPENZI.

Kijana mmoja amekutwa amejinyonga jana mkoani Iringa kwa sababu ya kuachwa na mpenzi wake waliyekuwa wamedumu naye ktk mahusiano kwa takribani miaka sita.Kwa taarifa zaidi endelea kutufuatilia.

Hakuna maoni: