Alhamisi, 15 Septemba 2016

SAMATA MZIGONI USIKU HUU AUSTRALIA.

Timu ya soka ya Genk ya nchini Ubergiji ambayo Mtanzania Mbwana Ally Samatta anaitumikia usiku huu itakuwa ugenini ikimenyana vikali na timu ya S.Wien ya nchini humo ktk michuano ya UROPE.
Hats hivyo hadi habari hii inaingia mitamboni tayari Genk ya Mbwana Samatta tayari ilikuwa mbele kwa goli moja bapo mechi hiyo imeanza mnamo saa mbili kwa masaa ya Afrika Mashariki.
Kila lakher Samatta.

Hakuna maoni: