Jumatano, 7 Septemba 2016

KUPIGWA TUNAJITAKIA.

Siku zote mi nasema kuwa kupigwa huwa hapaji hivi hivi tu bila sababu,na wakati mwingine kupigwa mtu hujitakia mwenyewe.Kupigwa siyo lazima uwe ugomvi lkn hata hali fulani hupelekea ama huchochea mtu kupigwa,kuibiwa,kubakwa,kukabwa na vibaka nk.
Sasa hebu jionee mwenyewe ndugu msomaji wetu.Mtu kama huyu kwa pombe hii aliyokunywa,hali alonayo..,ikatokea anasachiwa,akabiwa,akaingiliwa ama kubakwa au hata kifo cha kutokana na kunywa pombe nyingi kali kiasi hiki kuna kulaumiwa ktk hili???.
Dah,wapigwe tu maana haya mengine tunajitakia tu.

Hakuna maoni: