Hatimaye wanafunzi wa darasa la saba nchini kote wameanza mitihani ya taifa kwa ajili ya kuhitimu elimu yao ya msingi,huku wakiacha mamia ya wafanyakazi wa serikali na sekta binafsi wakiwa hatiani kutimuliwa kazi kwa kufoji vyeti vyao vya elimu,NECTA baraza la mitihani nchini wanaeleza.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni