Aliyewahi kuwa kocha na mchezaji wa zamani wa timu ya taifa,Taiga Stars Mohammed Msomali afariki Dunia siku ya Jana jioni jijini Dar na aagwa na kuzikwa leo mkoani kwao Morogoro.
Msomali alitoka matembezini mchana na aliporudi nyumbani kwake jioni alipokelewa na mjukuu wake ambapo alikwenda ndani kwake kupumzika.Lkn baada ya chakula kuwa tayari alifatwa na mjukuu wake huyo akimwita akale ndipo akakutwa tayari amekwisha kutangulia mbele ya haki.
Msomali amewahi kuwa mcheza soka mzuri akicheza soka time mbalimbali ikiwemo timu yetu ya taifa,Taifa Stars enzi za uhai wake lkn pia amewahi kuwa kocha wa soka nchini.
Hakika atakumbukwa kwa mengi mema ktk taiga hili has a ktk tasnia ya Moira wa miguu nchini.Mungu amlaze mahala pema peponi mpendwa wetu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni