Alhamisi, 1 Septemba 2016

ADUI ANAWEZA KUWA RAFIKI.

Ni kweli kabisa,ktk maisha adui yako anaweza kuwa rafiki.Wahenga waliposema kwamba mtoto wa mwenzako ni wako hawakuwa wajinga.
Lkn baba wa Taifa Mwl.Nyerere naye akanena akisema kwamba Huwezi jivunia una kwamba kwako una Amani au shibe wakati jirani yako ana vita au njaa.
USIISHI KWA KUKALILI.

Hakuna maoni: