Jumapili, 18 Septemba 2016

UTAMADUNI WETU.

Tanzania ni nchi ya pekee Duniani yenye makabila mengi kila moja likuwa na lugha yake lkn hata hivyo cha kushangaza bado watu wake wote wanaweza kuwasiliana kupitia lugha moja tu ya Kiswahili.
Huu ndiyo utamaduni wetu hasa ktk ngoma za asili.Hapa tumekuletea ngoma ya asili ya kabila la Wagogo,wenyeji wa mkoa wa Dodoma makao makuu ya nchi ya Tanzania.Karibu sana Dodoma,karibu sana Tanzania.

Hakuna maoni: