Alhamisi, 1 Septemba 2016

KUPIGWA TUNAJITAKIA.

Leo sisemi sana.Huyu Dada alikuwa cjui akitafuta nini hapa ili hali alikuwa akijuwa fika kabisa kuwa lile ni eneo hatari.
Mtu kama huyu hata akikutwa na dhahama kuna lawama hapo?.
KUPIGWA TUNAJITAKIA.

Hakuna maoni: