Pata vichwa vya habari vilivyotamba karibia magazeti yote ya Leo nchini Tanzania Juni 8'2017.
Jumatano, 7 Juni 2017
MAGAZETINI LEO

Jumatano, 12 Aprili 2017
MCHANA NA KATUNI

Jumatatu, 10 Aprili 2017
UPENDO NI TIBA KWA NAFSI ILIYOJERUHIWA
Tumeagizwa upendo jamani ndugu wasomaji weti.
Hebu tupendane ikiwemo kuwapenda na kuwajali hata wale ambao kwa namna moja ama nyingine huonekana hawana faida nasi.
Upendo wa kweli hautakali.
Usimpende mtu machoni pa watu ili uonekane unapenda bali mpende mtu kwa vitendo tena upendo utokao uvunguni mwa moyo wako.

KUPIGWA TUNAJITAKIA.
Mara nyingi kupigwa huwa hakuji hivi hivi tu bila makosa.
Lkn huku kupigwa kwingine basi tu watu wengine huwa wanajitakia wenyewe.Unakuta mtu anajuwa fika kabisa kwamba kufanya jambo fulani ni kosa kisheria na adhabu yake hugharimu faini,kifungo na hata kupoteza uhai lkn mtu huyo hajali anaamua tu kujifanyia makusudi.
Hebu hapa kinachotokea.
Hivi mtu kama huyu akipigwa atakuwa ameonewa kweli?
Aaaaah,APIGWE TU MAANA ANAJITAKIA.

MCHANA NA KATUNI

RAIS MAGUFULI ATEUA KAMATI NYINGINE MCHANGA WA MADINI.

MAGAZETINI LEO
Pata wasaa mzuri wa kupitia yaliyojili ktk vichwa vya habari ktk magazeti mbalimbali nchini Tanzani leo hii 09/04/2017.

Jumapili, 9 Aprili 2017
H2i YAZIDI KUPAMBA MOTO TANZANIA.
Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Helping Hands International(H2i)tayari imeazidi kushika kasi ktk ueneaji wake na kuendelea kuwanufaisha watu mbalimbali nchini Tanzania.
Taasisi hiyo iliyoingia nchini mwaka mmoja sasa inalenga kusaidia jamii isiyojiweza kama vile makundi maalumu,wajasiriamali na wale wote walengao kukuza vipato vyao tayari imekwishasajiliwa na inafahamika kisheria na inalipa kodi kwa mujibu wa mamlaka za usajili wa taasisi na makampuni Brela pamoja na TRA.
Mfumo wake wa kujiunga na kuwa mmoja kati ya wanataasisi hii ni rahisi sn kiutekelezaji na uendeshwaji wake.Ni mfumo wa kujiunga kwa kiasi kidogo cha pesa na jukumu lako ni kuanza kuwashirikisha wengine kujiunga nayo na kila anayejiunga anakufanya uweze kulipwa.
Kwa taarifa na maelekezo zaidi tembelea www.helpinghandsinternational/biz.
Au tembelea ofisi zao zilizopo mikoa mbalimbali mikoani na kwa Makao makuu ya nchi mjini Dodoma tembelea ofisi zao zilizopo Hotel 56 nyuma ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na chuo cha biashara CBE mtaa wa Makole.
Au piga simu No:-+255 71359616/+255 712217107.

Jumanne, 28 Machi 2017
MCHANA NA KATUNI

MTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO.
Samaki mkunje angali mbichi Wahenga walisema.Na mtoto umleavyo ndvy akuavyo.Wakati mwingine wazazi hujutia mambo yanayoweza kuwakumba hasa yanapotendwa na watoto wao.Malezi mabovu hukuza mtoto mwenye akili mbovu.

Jumamosi, 25 Machi 2017
GARI INAHITAJIKA.
Mwenye gari Langelover sport toleo la 2012 or Namba D na anataka kuiuza basi kuna mtu anaihitaji fasta.
Wasiliana na muhitaji kwa Namba 0717-139333 mfanye biashara.

Ijumaa, 24 Machi 2017
MZAZI WAKO NDIYE SHUJA WAKO

Jumamosi, 11 Machi 2017
MCHANA NA KATUNI

WEMA AJIUNGA CHADEMA RASMI

CCM YAWATEMA WASALITI

Ijumaa, 20 Januari 2017
UPENDO NI TIBA KWA NAFSI ILIYOJERUHIWA.

