Mara nyingi kupigwa huwa hakuji hivi hivi tu bila makosa.
Lkn huku kupigwa kwingine basi tu watu wengine huwa wanajitakia wenyewe.Unakuta mtu anajuwa fika kabisa kwamba kufanya jambo fulani ni kosa kisheria na adhabu yake hugharimu faini,kifungo na hata kupoteza uhai lkn mtu huyo hajali anaamua tu kujifanyia makusudi.
Hebu hapa kinachotokea.
Hivi mtu kama huyu akipigwa atakuwa ameonewa kweli?
Aaaaah,APIGWE TU MAANA ANAJITAKIA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni