Tumeagizwa upendo jamani ndugu wasomaji weti.
Hebu tupendane ikiwemo kuwapenda na kuwajali hata wale ambao kwa namna moja ama nyingine huonekana hawana faida nasi.
Upendo wa kweli hautakali.
Usimpende mtu machoni pa watu ili uonekane unapenda bali mpende mtu kwa vitendo tena upendo utokao uvunguni mwa moyo wako.
Jumatatu, 10 Aprili 2017
UPENDO NI TIBA KWA NAFSI ILIYOJERUHIWA

Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni