Jumapili, 9 Aprili 2017

H2i YAZIDI KUPAMBA MOTO TANZANIA.

Taasisi isiyo ya Kiserikali  ya Helping Hands International(H2i)tayari imeazidi kushika kasi ktk ueneaji wake na kuendelea kuwanufaisha watu mbalimbali nchini Tanzania.

Taasisi hiyo iliyoingia nchini mwaka mmoja sasa inalenga kusaidia jamii isiyojiweza kama vile makundi maalumu,wajasiriamali na wale wote walengao kukuza vipato vyao tayari imekwishasajiliwa na inafahamika kisheria na inalipa kodi kwa mujibu wa mamlaka za usajili wa taasisi na makampuni Brela pamoja na TRA.

Mfumo wake wa kujiunga na kuwa mmoja kati ya wanataasisi hii ni rahisi sn kiutekelezaji na uendeshwaji wake.Ni mfumo wa kujiunga kwa kiasi kidogo cha pesa na jukumu lako ni kuanza kuwashirikisha wengine kujiunga nayo na kila anayejiunga anakufanya uweze kulipwa.

Kwa taarifa na maelekezo zaidi tembelea www.helpinghandsinternational/biz.
Au tembelea ofisi zao zilizopo mikoa mbalimbali mikoani na kwa Makao makuu ya nchi mjini Dodoma tembelea ofisi zao zilizopo Hotel 56 nyuma ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na chuo cha biashara CBE mtaa wa Makole.
Au piga simu No:-+255 71359616/+255 712217107.

Maoni 2 :

Mnyausi Media alisema ...

Hakika iko vizuri hata mm ni mmoja kati ya member wake nimejiunga nayo na nimeshuhudia watu wakinufaika nayo.

Mnyausi Media alisema ...

Ahsante