Mchezo huo mgumu uliishuhudia Yanga ikiibuka na ushindi mnono wa magoli 6 kwa 2..
Kwa ushindi huo time hiyo ya Yanga yenye maskani take katikati ya mitaa ya Twigs na Jangwani jijini Dar es Salaam inakuwa nafasi ya pili ktk msimamo wa ligi hiyo ikiwa na jumla ya poiti 21 nyuma ya vinara wa ligi hiyo Simba sports Club yenye pointing 26 huku Stand United ya mjini Shinyanga ikiwa nafasi ya 3 kwa jumla ya ponti 21 pia lkn ikizidiwa na Yang's kwa zaidi ya mgoli.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni