Ujasiriamali,Biashara,Mahusiano,Siasa,Michezo, Burudani na Matangazo.
Alhamisi, 20 Oktoba 2016
UPENDO NI TIBA KWA NAFSI ILIYOJERUHIWA.
Tuwapende wenzenu kama vile sisi nasi tunataka tupendwe.Ubaguzi wa aina yoyote ile ni dhambi,kwani hujenga chuki na uvunjifu wa Amani miongoni mwetu,bila upendo hakuna ushirikiano na pasipo ushirikiano hakuna maendeleo.
NAKUPENDA NDUGU YANGU.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni