Jumamosi, 6 Julai 2019

MATANGAZO:,(2)TANGAZO LA KAZI

https://www.ajira.go.tz/wp-content/uploads/2019/06/TANGAZO-LA-KAZI-TPA-24.06.2019-RE-ADVERTISED.pdf

Jumamosi, 22 Juni 2019

WAONAVYO WALIMWENGU.

https://www.jamiiforums.com/threads/bendera-ya-taifa.1586425/ Bendera Ya Taifa

Jumamosi, 9 Machi 2019

SIMBA HOI BIN TAABAN ALGERIA

Timu ya soka ya Simba SC ya jijini Dar es Saalam yashindwa kufurukuta ugegeni katika ligi ya Klabu Bingwa Afrika mbele ya JS Saoura ya nchini Algeria baada ya kukubali kichapo Cha magoli 2-0; mchezo uliyopigwa saa 4 usiku katika mji wa Saoura nchini Algeria.

Baada ya mchezo huo na ule uliyozikutanisha timu za AS Vita ya Congo dhidi ya Al Ahaly ya kutoka Misri ambapo mchezo ulimalizika Kwa timu ya AS Vita ikijikusanyia alama 3.

Havi Sasa msimamo wa kundi D uko hivi:-
(1)JS Saoura jumla alama 8
(2)AS Vita jumla alama 7
(3)Al Ahaly jumla alama 7
(4)Simba SC jumla alama 6.

Michezo itakayofuata itazikutanisha
(1)Al Ahaly Vs JS Saoura nchini Misri
(2)Simba SC Vs AS Vita nchini Tanzania; ambapo kivyovyote Simba itapaswa kushinda ili kuwa na matumani  ya kuingia hatua inayofuata ya robo fainali.

SIMBA FULL MZUKA KUMENYANA NA WAARABU WA JS SOURA USIKU HUU.

Mabingwa watetezi wa ligi kuu bara na wawakilishi pekee wa Tanzania katika ligi ya klabu bingwa Afrika timu ya Simba Sports Club iko mjini Soura nchini Algeria kumenyana vikali na timu ya JS Soura ya nchini humo katika mchezo wa marudiano ili kusaka pointi 3 muhimu za kuiwezesha kujiweka ktk nafasi nzuri ya kuingia hatua ya robo fainali za michuano hiyo mikubwa barani Afrika Kwa ngazi ya vilabu.

Simba wakiwa kundi D  linalojumuisha timu 4 za AS Vital ya Congo,Simba SC ya Tanzania,Al Ahaly ya Misri na JS Soura ya nchini Algeria wapikuwa wakishika nafasi ya pili kimsimamo katika kundi hilo gumu wakiwa na alama 6 kibindoni nyuma ya Al Ahaly ya Misri kabla ya mchezo uliyomalizika hivi punde kule mjini Kinshasa nchini Congo;mchezo ambao umemalizika Kwa vijana wa AS Vital kushinda Kwa mbinde goli 1-0 dhidi ya Al Ahaly.

Simba Kwa udi na uvumba watatakiwa kushinda mchezo huu ili kujiweka pazuri kabla ya kuja kumalizia mchezo ujao utakaopigwa jijini Dar Es Saalam dhidi ya AS Vital.

Kila lakheri Simba.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Simba.


Jumatatu, 7 Januari 2019

KUPIGWA TUNAJITAKIA.

Ndiyo.
Nasemaga kila siku kwamba kile ulichoelekezwa kisifanyike basi usikifanye.
Iwapo utakifanya ni ishara kwamba umedharau maelekezo pamoja na yule au mamlaka husika.
Hebu jionee mwenyewe hapa.
Hivi huyu mtu akihukumiwa katika hilo kuna ubaya??.
Ama kweli Kupigwa tunajitakia.

Alhamisi, 3 Januari 2019

NUKUU TOKA MAGAZETINI 2018.

Hii ndiyo tuliyoinukuu km ilivyoandikwa.
Ni moja ya nakala zilizochapishwa mwishoni mwishoni mwa mwaka 2018.

MCHANA NA KATUNI.

Malizia siku yako na katuni bomba tokea hapa.

Jumanne, 1 Januari 2019

MCHANA NA KATUNI.

Kama kawaida siku kuu ya leo mbali na misosi au mapocho pocho ya hapa na pale huku ukishushia na moja ya moto na nyingine ya baridi
Basi sisi nasi tunakufurahisha ma katuni na kisha mchana wako unakwenda safi kabisa

NEW YEAR WISHING.

Mnyausiblog team,
We're wishing all of you happy new year 2019.